top of page




SMART GYPSUM DECORATION

KUHUSU SISI
SMART GYPSUM DECORATION
Tunatengeneza na kudizaini maumbo mbalimbali kwenye dari(celling) za Manyumbani,Ofisini,Hotelini na Maduka.tunazalisha na kufunga apo apo saiti ilipo.kazi zingine za ziada ambazo tunafanya ni Kufunga bodi za kawaida,Tunapiga blandalingi, tunapiga rangi za nyumba na skimingi za nyumba.
HUDUMA ZETU
Tunatoa huduma zifuatazo Wall Tv Show Case,Arch Decoration,Cealing DecorationBlandering,ScimmingColour, Paint/texture Drawer,Wall Paper,Wall texture,na mengineyo hivyo basi wateja wetu tunawakaribisha sana kwa huduma za kuboresha nyumba katika muonekano unaovutia kwa bei nafuu sana.
Tuna ubunifu wa kutengeneza bodi ya dari yaani cealing board iwe na muonekano wa maumbo tofauti na urembo mzuri.



Hii ni ukuta wa tv kama inavyoonekana ina muonekano wa kuvutia na kupendeza



Hii ni gypsum plate inakaa katika pointi za taa au feni na inaleta muonekano mpya na mzuri ndani




Pia tuna ubunifu mkubwa wa kuweka wallpaper na kuiweka katika muonekano mzuri unaovutia



Tuna fanya colouring yaani kupaka rangi na skiming kwa muonekano unaopendeza na kuvutia




PICHA ZETU




Tunapaka rangi ndani ya nyumba na nje








Tunatengeneza maumbo mbalimbali kwenye bodi ya dari














































KARIBUNI WOTE
Jaza fomu au piga simu kwenye namba zetu
ili uweze kupata huduma zetu kwa haraka
​
Mahali tulipo:
Tunapatikana Dar es salaam pia kama unahitaji huduma zetu popote pale ulipo Tanzania unaweza kupata huduma zetu kwa bei nafuu na kwa haraka
MAHALI TULIPO
bottom of page